Skip to main content
Mtu Wa Kazi

Mtu Wa Kazi

Current price: $8.00
This product is not returnable.
Publication Date: January 20th, 2018
Publisher:
Createspace Independent Publishing Platform
ISBN:
9781984026538
Pages:
192
Usually Ships in 1 to 5 Days

Description

Muhtasari (Kiswahili): Mapenzi huponya. Mapenzi huangamiza. Kuwa makini. G aka Ganzi, kijana katili muuaji asiye na chembe ya huruma, anadondokea katika penzi zito la msichana mrembo aitwae Tausi. Miezi mitatu kabla, kijana huyo alikuwa hahitaji kuwa na rafiki wala mpenzi, akiongoza operesheni za kijambazi za kundi maarufu na katili liitwalo Mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe, lakini baada ya kutokea mrembo huyo, anajikuta akiwa amezama hasikii haoni kwa mrembo kiasi cha kujikuta akiamua kusaliti kundi hilo lililomlea na kumtajirisha na kuamua kumwaga damu ya yeyote anayetaka kumtenganisha na mrembo Tausi. Lakini asilolijua ni kwamba ... Riwaya hii iliwahi kutamba sana kwenye magazeti ya Jangwani, Kiu na Jambo leo kiasi ambacho mwandishi alipata maoni mengi mno aitolee kitabu, na kutokana na maombi hayo, sasa uhondo upo mbele ya macho yako. Nakuhakikishia, utakapokishika kitabu hiki na kuanza kukisoma hutatamani kukiweka chini mpaka ukimalize na huenda baada ya kukimaliza ukaamua kurudia kukisoma tena na tena. Fran ais: Mtu wa kazi est un roman populaire en kiswahili la crois e du roman policier et psychologique. Il a d'abord t publi en feuilletons dans les journaux Jangwani, Kiu et Jambo leo. Devant le succ's rencontr aupr's des lecteurs, il a t auto- dit en 2016 et est aussi disponible dans des applications de lecture sur smartphone cod es en Afrique de l'Est, comme Uwaridi. La pr sente dition par Buluu Publishing tend la diffusion de cette oeuvre. G alias Ganzi (la Torpeur NDT) est un jeune meurtrier cruel et sans piti . Il coule progressivement au fond d'un grand amour avec la belle Tausi (le Paon NDT). Il y a trois mois ce jeune homme n'avait besoin de personne et dirigeait les op rations criminelles du c l bre et cruel groupe nomm le Capital du pauvre est sa propre force. Mais apr's la venue de cette belle femme, il se sent sombrer, sourd et aveugle aupr's d'elle. Au point qu'il se retrouve trahir l'organisation qui l'a lev et rendu riche et a d cid de verser le sang de quiconque veut le's parer de la belle Tausi. Mais ce qu'il ignore est que ... propos de l'auteur: Suleiman Ali Kijogoo est n en 1977 Dar es Salaam, Tanzanie. Il est l'auteur de plusieurs romans succ's dont Kisasi, Kikulacho kiko nguoni mwako, Pigo la moyo, Zawadi yako et Mtu wa kazi. Il reconna t l'influence de Ben R. Mtobwa, auteur tanzanien c l bre de langue swahilie qui a crit de nombreux romans populaires. Kijogoo est aussi l'auteur de trait's de psychologie au sujet des relations amoureuses ou de la vie en g n ral comme Saikolojia ya maisha I et II, et Saikolojia ya mapenzi I et II. Il est connu du grand public par ses feuilletons dans la plupart des grands quotidiens tanzaniens et pour le blog BongoWriters.